majina ya wanafunzi waliopata mkopo udsm haya hapa

Sasa kaka/dada ndo umeandika nini? Kichwa cha habari na content haviendani.
 
Nyambaf kila siku naomba uongozi utuwekee button ya KWENZI hawataki, wapuuz kama hawa wamekua wengi sana
 
Agghrr kunawatu wanaboa kweli,unaandika headings za magazeti ya udaku humu.Heading nyingine habari nyingine
 
Jaman msamehen bure,m2 wa w2 hajui lipi alitendalo coz ni new member,karibu jf jaribu kutulia kabla ya kuanzisha thread kaka coz hapa watu wanatakiwa wapate hbr motomoto za elimu zisizo patikana maeneo kama facebook nk,i beleave ww ni great thinker utakuwa umenipata.
 
Back
Top Bottom