Majina ya walioitwa kwenye usaili KADCO haya hapa

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,211
1,186
Habari wakuu,nimepitia kwenye website ya KADCO nimefanikiwa kuyapata majina ya watu walioitwa kwenye usaili haya hapa
 

Attachments

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI JULAI 2018.doc
    1.3 MB · Views: 437
Ndugu wajumbe, samahani kwa kuchelewa kufika kwenye uzi huu.

Naomba kuwasilisha.
 
nashukuru MUNGU nimo aisee lakini mbona jamaa wameyatoa kinyemela hivyo? kwani kila mtu anaweza tembelea hilo liwebsite lao kweli?
 
nashukuru MUNGU nimo aisee lakini mbona jamaa wameyatoa kinyemela hivyo? kwani kila mtu anaweza tembelea hilo liwebsite lao kweli?
Hata tangazo la hizo nafasi lilitolewa kwenye website
 
Alo utumishi wa umma mbona wanazingua kutoa matokeo ya usaili wa written jana,walisema jana ucku tumekaaa hola hadi saizi hawajatoa majina ya KADCO.
 
Back
Top Bottom