kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
Wakuu majina ya waliiofaulu kwenye usaili wa kazi ya SENSA 2022 yameanza kutolewa.
Hapa tutakuwa tunapeana updates kutoka maeneo kadha wa kadha kadri yanavyotolewa.
Nikebahatika kuona picha ya orodha ya majina kutoka Tandahimba Mtwara huko kupitia chanzo cha mtandao wa kijamii Telegram ya assenga.online.com.