Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,652
Naskia majina yashatoka ya Muhas
Kiwa makini sana na heading zako uchwara izokuuliza kwani vibaya au
wewe ni mtu wa hovyo sana,acha dharau ndugu nimeuliza nataka kujua,ikiwezekana nipate wenzangu wa Muhas
Acha kuidhalilisha Muhas. Muhas hawaendi wapuuzi kama weweacha dharau ndugu nimeuliza nataka kujua,ikiwezekana nipate wenzangu wa Muhas

Dgo kuwa makiniacha dharau ndugu nimeuliza nataka kujua,ikiwezekana nipate wenzangu wa Muhas
Wanaochaguliwa muhas huwa wanajionea kwenye profile zao majina yanawekwa baadaye sanaaNaskia majina yashatoka ya Muhas