Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,520
- 2,091
Mi sioni tatizo, maana kaenda na wazalendo, tatizo kama angeenda na maghabachol
Ni kweli mkuu, na pia hawa watu hujilipia nauli na gharama zote za kukaa huko serikali haiwagharimii chochote. Kwahiyo hata mimi sioni tatizo hapa maana mwenye interest ya kwenda hujiandikisha na kusaidiwa tu kwenye process ya kupata visa basi.
Mazingira una uhakika na nilicho-bold??Kama ndio huo mchongo,mchakato unafanyika wapi?Mimi nitajua vipi kwamba Mkulu Vasco da Gama anaenda kuvumbua nchi ipi??
Yeah am sure. Nina mtu wa karibu aliyekuwa anashughulikia safari mojawapo nikamuuliza kuhusu hilo akaniambia kuwa wafanyabishara wote hujigharimia wenyewe. Mchujo huangalia tu potentiality ya biashara ya mtu (yaani biashara iwe ya kueleweka) ili wasijeenda na drug dealers. Kama kuna mizengwe mingine basi labda mhusika awe na uhasama na wakubwa waamue kumutoa kwenye msafara.
Nimefanikiwa kupata picha moja wakati wenzao wakiwa busy kusikiliza fursa za uwekezaji wao busy wanapiga picha na wengine kukumbatia pochi kama vile wapo kwenye mashindano ya urembo....
Mkuu wangu Tusker Barrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrridi, hii picha kwa kweli inaonesha jinsi watu wanatofautiana kimalengo. Hivi hayo ndio mavazi waliyoshauriwa kuvaa?
Wafanyabiashara ama wauza sura?
Hapana ni wafanyabiashara wazalendo!
jamani tuheshimu wenzetu kama tunvyotamani kuheshimiwa; hawa wamekwenda kutuwakilisha na tunawapa pongezi ikizingatiwa imesemwa hapa kuwa wamejipeleka!