Majina ya Wafanyabiashara ambao Mh.Rais Kikwete ameongozana nao Turkey!

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Wadau mwanzo nilijua kuwa Mkuu Vasco kaenda kupokea Phd. huko Turkey lakini leo katika baadhi ya vyombo imeripotiwa kuwa amekwenda huko na wafanyabiashara kutoka Tanzania wapatao 55 mwenye majina please na wanajishughulisha na biashara gani hapa nchini ita-add value...
Naanza na hawa wawili najua hawa hawakosi...
1.Elvis Musiba-former Mwenyekiti wa TCCIA
2.Aloyce Mwamanga-Mwenyekiti wa TCCIA
3.
4.
5.
6.
55.????
Nawasilisha...
 
Kwani Musiba Elvis , ANAFANYA BIASHARA GANI.....heshima kwake, nahisi anamafanikio sana, MWAMBIENI BAADA YA uchu ANATULETEA NINI SOKONI TENA....?
 
ungekua mwanachama wa Chamber of Commerce au kile chama cha wafanya biashara wa kitanzania walioanzisha mahusiano na waturuki sijui TAN_TURK ungejua hivi hivi sio rahisi.ila nilisikia kuna kamchezo kalifanyika juu ya kupata hao watu wakwenda huko
 
Mi sioni tatizo, maana kaenda na wazalendo, tatizo kama angeenda na maghabachol
 
Sioni tatizo rais kwenda na wafanya biashara na si mara ya kwanza kwa Rais kufanya hivyo. Vile vile Marais wengi wanapofanya ziara huwa wanafuatana na wafanya biashara.
 
may be Rostam Aziz, Somaia, Sailesh Vithlani, Jeetu Patel..............
 
Mi sioni tatizo, maana kaenda na wazalendo, tatizo kama angeenda na maghabachol

Ni kweli mkuu, na pia hawa watu hujilipia nauli na gharama zote za kukaa huko serikali haiwagharimii chochote. Kwahiyo hata mimi sioni tatizo hapa maana mwenye interest ya kwenda hujiandikisha na kusaidiwa tu kwenye process ya kupata visa basi.
 
Mazingira una uhakika na nilicho-bold??:confused: Kama ndio huo mchongo,mchakato unafanyika wapi?Mimi nitajua vipi kwamba Mkulu Vasco da Gama anaenda kuvumbua nchi ipi??
 
Mazingira una uhakika na nilicho-bold??:confused: Kama ndio huo mchongo,mchakato unafanyika wapi?Mimi nitajua vipi kwamba Mkulu Vasco da Gama anaenda kuvumbua nchi ipi??

Yeah am sure. Nina mtu wa karibu aliyekuwa anashughulikia safari mojawapo nikamuuliza kuhusu hilo akaniambia kuwa wafanyabishara wote hujigharimia wenyewe. Mchujo huangalia tu potentiality ya biashara ya mtu (yaani biashara iwe ya kueleweka) ili wasijeenda na drug dealers. Kama kuna mizengwe mingine basi labda mhusika awe na uhasama na wakubwa waamue kumutoa kwenye msafara.
 
Asante...Unaweza ukamwomba akumegee japo hata list ya Wafanyi-biashara 20 tu... Asianze na kina Mama Nagu,Ole Naiko nk. yaani wale walengwa wenyewe Natanguliza shukrani... Na pia asisahau kukujuza kuwa Mkuu Vasco anatarajia kuelekea wapi kabla ya uchaguzi nianze kujiandaa...
Nimefanikiwa kupata picha moja wakati wenzao wakiwa busy kusikiliza fursa za uwekezaji wao busy wanapiga picha na wengine kukumbatia pochi kama vile wapo kwenye mashindano ya urembo....
 
Attachments

  • Watalii.jpg
    Watalii.jpg
    98.6 KB · Views: 168
Mkuu Tusker baridi!

kweli hii picha inaongea mengi mno; huyu mama hapo anaonekana kuwa amused na mturuki hapo pembeni
 
Nimefanikiwa kupata picha moja wakati wenzao wakiwa busy kusikiliza fursa za uwekezaji wao busy wanapiga picha na wengine kukumbatia pochi kama vile wapo kwenye mashindano ya urembo....

Mkuu wangu Tusker Barrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrridi, hii picha kwa kweli inaonesha jinsi watu wanatofautiana kimalengo. Hivi hayo ndio mavazi waliyoshauriwa kuvaa?
 
Mkuu wangu Tusker Barrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrridi, hii picha kwa kweli inaonesha jinsi watu wanatofautiana kimalengo. Hivi hayo ndio mavazi waliyoshauriwa kuvaa?

Samahani Mkuu,
Naomba kukuuliza,Hivi ungeenda wewe ungevaa vazi gani?
Mimi nafanya biashara muda mrefu sasa na nimeona wakivaa mavazi ya aina mbali mbali na nadhani hao mabint hapo wamevaa ipasavyo
Sijui wewe una maoni gani?

Kuna Bwn.mmoja anaitwa Kajumulo (Alex) yeye kwenye business meetings kama hizo anavaa kaptula imagne na marasta yake.huo ni mfano mmoja tu
 
Hapana ni wafanyabiashara wazalendo!

jamani tuheshimu wenzetu kama tunvyotamani kuheshimiwa; hawa wamekwenda kutuwakilisha na tunawapa pongezi ikizingatiwa imesemwa hapa kuwa wamejipeleka!

Nikweli mkuu uyasemayo ni ghari kwenda kwenye misafala kama hii,inakuladhimu ukae kwenye Hotel za bei juu kwani watu wengi mnao fatana nao ni wazito (mfano Rais)
unajua na hii system yetu ni mbovu tu,ilikua inapaswa hao wafanyabiashara nusu au 40% ya gharama za tikiti walipiwe na Chamber lakini hizo hela za ruzuku zinaliwa na hao jamaa wa huko kiasi inafikia mtu anajilipia kila kitu mwenyewe
 
hawa hawahitajii kuongozana nae kwani deal zao hazihitaji wafanyabiashara wa nje..

nasikitika wazalendo wetu watarejea na shopping ya nguo, pc, simu na viatu........
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom