Majina ya viongozi wapya CHADEMA Moshi

Majina ya viongozi wapya CHADEMA Moshi

Matokeo zaidi: wajumbe kamati ya utendaji jimbo, Focus Shio, Ekarist Kiwia, Pius Shio na Sadiki Lukwaro
 
Tumia hata macho kufikiria kama akili hazijaamka. Lawama na kukosa kwingine kunakudhalillisha wewe na waliochangia katika kukua kwako. Kwa hiyo wewe ulitaka kina Kamugisha, Mwakingwe, Shiguna, Mwijuma, Mapunda na Kina Segito waende kuwa local leaders Moshi? Kama huna hoja ni bora kuduwaa kulilko kujidhalilisha na ushupavu!.

Hapo sawa wachaga watupu verygood
 
Magamba endeleeni kutoa povu! m/kiti bavicha Emanuel Nyaki,katibu Wilhad Kitaly,uenezi Sulus Malya,mhazini Harun Munga
 
Matokeo kamili na kura walizopata wagombea yataletwa hapa na mkuu Mungi.Lumumba wanasubiri kwa hamu utadhani yanawahusu.
 
Tumia hata macho kufikiria kama akili hazijaamka. Lawama na kukosa kwingine kunakudhalillisha wewe na waliochangia katika kukua kwako. Kwa hiyo wewe ulitaka kina Kamugisha, Mwakingwe, Shiguna, Mwijuma, Mapunda na Kina Segito waende kuwa local leaders Moshi? Kama huna hoja ni bora kuduwaa kulilko kujidhalilisha na ushupavu!.

Makabila ya wale ambao hawakwenda shule daima ndio visingizio vyao. Uchagani lazima kuwe na wachaga, uhayani lazima kuwe na wahaya etc. May be at national level ndio mtu yakija majina ya kabila moja , one can query!
 
Back
Top Bottom