jerry monny
Member
- Dec 6, 2010
- 94
- 0
mkuu mulbadaw ulikatiza miaka gani?
hapo endabash kwa bibi yangu,umenigusa kweli,asante shemeji ila majina zaidi yameniishi.thanks alotbasi ukitoka pale karatu unafika gongali unafika ayabut unaingia bassodawish unatermkia barai. Toka barai unaenda endabsh then ukatiza ngaidadu mpaka kansay unafika barakta. Toka hapo unaenda mbele mpaka gwandumehhi unavuka kale kamto hahay unaingia daudi unaendelea mpaka bargish antsi unaingia mbulu pale kuna wakwe zangu wanaishi endagikot na wajomba zake mke wangu wanaishi ay mami. Shemejii upo!
hapo katesh nilishafika....pana upepo na baridi kali sana...
majina haya yananikumbusha Abyssinia na SomalilandBasi ukitoka pale Karatu unafika Gongali unafika AYABUT unaingia Bassodawish unatermkia Barai. Toka Barai unaenda ENDABSH then ukatiza Ngaidadu mpaka Kansay unafika BARAKTA. Toka hapo unaenda mbele mpaka Gwandumehhi unavuka kale kamto Hahay unaingia DAUDI unaendelea mpaka Bargish Antsi unaingia MBULU pale kuna wakwe zangu wanaishi ENDAGIKOT na wajomba zake mke wangu wanaishi AY MAMI. Shemejii upo!
Mh!inamaana wairaqw walirithi majina ya wabarbeig?mbona maeneo yote yaliyotajwa wanaishi wao?naomben ufafanuzi
dawar
gasaboy
gidahababieck
measkron
endasak
lamay
balangdalalu
katesh