Walikuwa wananiita Madenge....
Sababu kubwa ni kwa sababu nilikuwa zero brain toka utotoni.
Mawazo yangu huwa yanaenda Opposite na jamii inayonizunguka.
Mfano kuna watu wanasema moja ongeza moja ni mbili au ni 11.
Lakini mimi nakataa nasema 1+1=3 au 4 kwa kuwa ukichukua mwanamke mmoja na mwanaume mmoja wakakaa kwa mwaka mmoja wakigegedana wanaweza kupata mtoto mmoja au mapacha wakawa jumla watatu au wanne au hata watano.