Majina ya St. John University Dodoma

Mziba 120

Member
Joined
Jun 26, 2017
Posts
13
Reaction score
2
Naomba mnisaidie kuyapata majina ya waliochaguliwa kujiunga katika ngazi ya Diploma March/April 2017.
 
Kama umepata bundle la kuingia jf maana yake una bundle pia la kuingia kwenye website ya chuo huska na majina unayakuta wazi kabisa kama yapo na kama hayapo basi hutayakuta mpaka hapo watakapoyaweka. I wish I could be moderator,huu Uzi nungekuwa nimeufuta mapema asubuhi.
 
Makavu live mkuu, unafanyia mahakamani nn [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ivi nyie ndo mnaoenda Diploma kwa chet cha form 4 bila kusoma certificate kwanza? St john ni jipu
 
Makavu live mkuu, unafanyia mahakamani nn [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu jamaa anataka sisi tuingie kwenye website ya chuo huska tukatafuye hayo majina then tuyaweke hapa. Huo Mimi nauiya ni ujinga na kushindwa kujishughulisha. Unatakiwa ujishughulishe kwanza then uki fail unaweza kuomba msaada. Kama unashindwa hata kutafuta taarifa unataka sisi tuanze kukutafutia taarifa?.
 
Naomba mnisaidie kuyapata majina ya waliochaguliwa kujiunga katika ngazi ya Diploma March/April 2017.
Intake ya April ishapita... Na wote waliokachaguliwa walitaarifiwa kwenye profile zao...Sasa mkuu leo hii tar 6 july unaulizia kuhusu intake ya April kulikoni....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…