Majina ya nyimbo za katoliki

Majina ya nyimbo za katoliki

Maki J

Senior Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
154
Reaction score
162
Habari ndungu zangu,nimejaribu kupost hi post kwenye jukwaa la dini lakini nimeambiwa "Sina enough permission to post only members" naombeni mwenye kujua majina ya nyimbo za katoliki au link ninayoweza kupata hizo nyimbo
Nawashukuru sana
 
Mkuu ni inbox # yako nikuunganinshe na grp fulani lenyewe ni full nyimbo za Kikatoliki. .
Nafanya hivyo kwa kuwa mimi pia nishawahi kuwa na kiu ya kuwa na group au sehemu yenye nyimbo za katoliki, coz is only my interest na sina nyimbo zaid ya hizo za kanisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zipo nyingi sana mkuu

Bwana Ndie Mchungaji Wangu

Kidole Juu

Mshipi

Navumilia tu

Bwana Alikuwa Tegemeo Langu

Nimetafakari habari zako

Mvua inarutubisha Vitu vyote

Nikiziangalia Mbingu

Na kadhalika na kadhalika.....
khaaaa ww kwel JOSE MKATOLIK
 
Mkkuuu 0687398455 ni add
Zipo nyingi sana mkuu

Bwana Ndie Mchungaji Wangu

Kidole Juu

Mshipi

Navumilia tu

Bwana Alikuwa Tegemeo Langu

Nimetafakari habari zako

Mvua inarutubisha Vitu vyote

Nikiziangalia Mbingu

Na kadhalika na kadhalika.....
 
Mkuu ni inbox # yako nikuunganinshe na grp fulani lenyewe ni full nyimbo za Kikatoliki. .
Nafanya hivyo kwa kuwa mimi pia nishawahi kuwa na kiu ya kuwa na group au sehemu yenye nyimbo za katoliki, coz is only my interest na sina nyimbo zaid ya hizo za kanisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hi. Naomba uniunganishe na group ya nyimbo za kikatoliki 0784 821973. Ubarikiwe ndugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom