Majina ya mapacha yanayoanzia na M

Salaam ndugu na jamaa zangu,

Ninayo furaha kuwajulisha kuwa nimepata watoto mapacha leo wa kike na wakiume.

Naombeni ushauri majina gani niwape yenye maana yanayoanzia na M.


Merlin & Melin
 
Mzazi kama wewe ukishajua umezaa watoto vilaza ni muhimu sana kuepukana na majina yanayoanzia na A kwasababu kwenye mitihani watoto watawekwa mbele afu washindwe kudesa bure then wafeli hao majina ya M watakuwa katikati.......... hahahahaha
 
Yaani ulikuwa kichwani mwangu maana nilivyosoma ni msichana na mvulana nikamention haya majina

they sound sweet kwakweli... sema kwetu hatuna mapacha, hey could be my first pick!!!
 
Kuna majina yanatolewa humu, ni nouma

Hongeara mwaya kwa mapacha wako, Mungu na akukuzie
 
Hongera sana
Ila fatilia majina na tabia zake inaaminika majina yanatabia.
Pia ujue maana ya majina hayo utakayochagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…