Majina ya ‘majiin’

Ndio maana nikasema kuna maelezo tofauti kuhusu asili ya hao viumbe.
 
Hivi ni majina ya kiarabu au ya kiislamu?Waarabu Wakristo hawaitwi haya majina?
 
Kuhusu kuwatoa majibu kanisani,si utapeli...

I did that myself,mara nyingi sana,tena kwa uwezo wa kukushika tu..na hilo dude chafu likatoka.
 

Kwa issue ya Kanisani kuweza kuhakikisha kuwa walio Kanisani wana uwezo wa kutoa mapepo au kufukuza majini, nakushauri ufanye kitu rahisi tu kama hivi: ondoka na jini wako kama unaye, halafu nenda ukawaambie kuwa wewe una jini, au mchukue mtu ambaye wewe una uhakika kabisa kuwa ana pepo halafu mpeleke Kanisani. Ni kitu frahisi sana kuweza kuhakikisha, badala ya kulalama bila kuwa na ushahidi wowote! Nakushauri tafadhali ufanye hivyo!
 
mambo mengine paka unaogopa kuquote labda unaeza kulogwa itabidi nisichangie...
 
Kuhusu kuwatoa majibu kanisani,si utapeli...
I did that myself,mara nyingi sana,tena kwa uwezo wa kukushika tu..na hilo dude chafu likatoka.
Kuna kulitoa na kulifanya liondoke kwa muda huo,kwa sababu yapo mafuta ambayo ukimnusisha mtu mwenye jini hilo jini hukimbia kwa muda huo ila baadaye hurudi kama kawaida.
 
Kuna kulitoa na kulifanya liondoke kwa muda huo,kwa sababu yapo mafuta ambayo ukimnusisha mtu mwenye jini hilo jini hukimbia kwa muda huo ila baadaye hurudi kama kawaida.
Yeah ni kweli,linaweza kwenda na kurudi kabisa..

Kwa jina tu la YESU linakimbia kabisa linatokomea
 
Sawa, lakini ukweli ni huo, huwezi kumtoa au kumfukuza kiumbe chenye uwezo kuliko Binaadamu, kiumbe kilichomsaliti Mungu, kwa kumpiga kelele, "kwa jina la Yesu, toka, toka...." inabidi ujiongeze kidogo
 
Kuhusu kuwatoa majibu kanisani,si utapeli...

I did that myself,mara nyingi sana,tena kwa uwezo wa kukushika tu..na hilo dude chafu likatoka.
How?! By shouting in the the name of Jesus... Get out!???
 
Huyo ,zein zein nimhuni sana anabadili majina san sindo huyu kwasasa anaitwa eatel, mwehu kabisa
Hapana "ZEIN ZEIN", Alikuwa anakusudia salama salama au hamjambo...
 
Bado sijakuelewa. Kwanini hutaki kumtaja jina? (Swali linabaki pale pale kwanini majini ya majina ya Kiarabu?).\
Na kwanini majini yanatoka sehemu ambazo kuna waislamu wengi kama Pemba, Unguja, Mombasa na Uarabuni?
Kwa imani yangu hakuna majini wanaomwabudu Mungu kwasabb hao ni malaika walioasi pamoja na shetani. Ndiyo wameumbwa lakini ni malaika walioasi na hakuna jini mzuri OVER.
 
Isikusumbue ndugu,ni sawa tu na kukuta mbwa kapewa jina kama, Maurice, john nk.
Haimaanishi kuwa hao mbwa nao ni wakristo ni majina tu .
 
Isikusumbue ndugu,ni sawa tu na kukuta mbwa kapewa jina kama, Maurice, john nk.
Haimaanishi kuwa hao mbwa nao ni wakristo ni majina tu.
Hakuna kitu kinatokea tokea hewani kila kitu kinasababu zake. Umeandika lakini sijajua kama hizo sentensi zako umezielewa

1. Hao mbwa wanapewa majina ya kikiristo sababu wanaishi na wakristo lakini mbwa siyo wakristo lakini wanauhusiano na wanakristo yaani wanaishi na watu wakristo.
2. Tukirudi kwenye mada, inaonesha majini wanaabudu kwenye dini ya kiarabu ndiyo maana lugha, majina na mavazi yanaendana na jamii ya kiarabu
3. Dini ya Kiarabu inasema "Mungu kaumba majini. Wapo majini wanaomubudu Allah, na wapo wasiomuabudu na pia kuna majini azuri na wabaya. Kwa wakristo ndiyo wanakubali kuwa Mungu kawaumba majini lakini hakuna jini linalomuabudu Mungu kwasababu ni malaika walioasi pamoja na shetani. Kiufupi hakuna jini mzuri au mbaya wote ni wabaya. Kwa sentensi yenu bado kuna uwalakini.
 
Not only that,even by the touch,or whispering...there are many ways mkuu
Ndio maana nikasema yapo mafuta ambayo ukimnusisha mwenye majini basi huyo jini hutoka na unaweza kukaripia kwa kumuudhi kama mfano wa kusema "toka kwa jina la Yesu" hata ukisema toka kwa jina la Jamiiforum yeye hutoka tu kwa sababu ya hayo mafuta.
 
Majini walikuwepo kabla ya waarabu na hiyo dini ya kiarabu,halafu habari za kuhusu majini zipo duniani kote sasa sidhani ukienda china au ulaya nako utakuta wanajua majina ya majini haya ambayo huku tunayajua hata huko kwa waarabu hilo jina la jini Maimuna sijui kama wanalijua.
 
Soma vitabu vya Solomon(Suleiman) ni Mtume peke yake aliepewa Uwezo wa kuzungumza na kuongea na Majini pamoja na Wanyama,..

Hadithi za Suleiman ziko katika Kuran, hata Freemasons wanafuata baadhi ya Mafunzo ya Suleiman..

Uislamu ni muendelezo wa dini zilizoyoletwa na Musa na Issa na Mtume mengine iliyopewa vitabu..

Sio kweli kwamba Majini yote yana majina ya kiarabu, Huyu juni wa Marehemu Bibi alikuwa na jina la wenyeji wa Pwani, yaani kama vile Usi, Pandu, Makame...

Elimu(knowledge) ya dini na mambo ya Mungu yameanzia Mashariki ya kati(Arabuni) halafu ndio yakapakaa huku kwetu, kwa hiyo wao wanauelewa zaidi

Lugha ya kiarabu ndio lugha iliyotumika katika kitabu cha mwisho (Kuran) alichotoremsha Mungu, sasa unafikiria Majini watakuwa na Majina gani wakati wao wameumbwa kumuabudu yule aliewaumba?

Kuna Majini mpaka ya Kimasai, Majini yanaishi na jamii za Wanadamu, alikuambia kuwa Majini ni Warabu tu kakudanganya..
 
Majini wako kila dini na wengine hawana kabisa dini na hapa ndipo kwenye jibu la kwanini kwenye mambo ya kishirikina huko hutumika jina la mama na si la baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…