Majina ya Kisukuma

1.Kanogunogu
2.bukutonaga
3.ngosha mudilu
4. Bubusha wichuja
5.bugali bumanilwe soji
6. Shinonu ulu shitazugile
7. Bakwimba bagesengi
8. Kufutabudugu kwitimba
9. Bunyhabonchilu bugolo
10. Mlyashimbi helikumi
Nanyi tupieni ...
 
duh hayo majina kama yana maana yake kwa kiswahili mngetafsiri ingekuwa poa.

hivi ngosha ni jina la kisukuma? mbona sijaona mkilitaja?

Ngosha means 'mwanaume' ni la kisukuma.
 
1.Kanogunogu
2.bukutonaga
3.ngosha mudilu
4. Bubusha wichuja
5.bugali bumanilwe soji
6. Shinonu ulu shitazugile
7. Bakwimba bagesengi
8. Kufutabudugu kwitimba
9. Bunyhabonchilu bugolo
10. Mlyashimbi helikumi
Nanyi tupieni ...
haya ni majina ya vijiji au watu?
 
😄😄kumbe ndo maana mwala ugali mkubwa! Mana utamkaji wa haya majina yahitaji kutumia nguvu!
 
mtanzania shibiriti
kubahega ndole
madirisha ng'wizaatashiwagwa
Nkandogomva Ng'wanidako
 
mkuu huo ni ugonjwa ama jina mbona meogopa
Kaswende ni jina haswa. Wewe jaribu kwenda pale Itwangi (katikati ya Tinde na Kahama) alafu uulizie akina Kaswende. Watakupeleka tu, bila taabu!
 
kumbe ndo maana mwala ugali mkubwa! Mana utamkaji wa haya majina yahitaji kutumia nguvu!

kwa mfano kutamka " mojo go nva mahoyogo, au lugombola badolyodolyo" mpaka ule dona laukweli au ugali wa mtama na sato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…