Unashanga je TENGAMITUMBA MILULUMILWA
NYANZA ZAMU.
Hii mijama inatisha ikisoma sana na wanakuwa wataalamu waliobobea kwenye fani zao.Kinachowashinda uwongozi tu.Yaani msukuma kuwa sijui DC,mara RC mnawaonea tu.Wenyewe wape kazi kama za uhandisi,udaktari nk.
Unamkumbuka marehema Mashimba?Alikuwa chief Chemist kwa nn?Majina siyo Issue hata aitwe Mipawa au Maguru ga Shimba mradi tu liende shule wanatisha na hawana makuu,ukitaka kuharibu mpe uongozi atachemka tu.Kazi zao ni za taaluma,hawa ni wajapani Tanzania