Majina ya Kihaya ya kike

kamuaga broken kibao,sometimes huwa nawashangaa watu wengine,kama hauna uhakika na grammer yako tulia,you might be gond in spoken ukirudi kwenye written ndo matokeo yake haya hapa.upupu.
 
kamuaga broken kibao,sometimes huwa nawashangaa watu wengine,kama hauna uhakika na grammer yako tulia,you might be good in spoken ukirudi kwenye written ndo matokeo yake haya hapa.upupu.
 
........... na Blandina, Kokuhilwa, Kokuleba, Mangada, Kelementina, Rubelita n.k
 
Ghostmajina mengine ni:-1. Sima [shukurani]2. Shubira [tegemea]3. Kishakyamukama[huruma ya mungu]
kishakyomukama sio huruma ya mungu labda huruma ya bwana,neno 'mukama' kumbuka ata mfalme ni mkama e.g omukama-RUMANYIKA.
 
Makeleme,matereza,ma-rwabishugi, ma-rwabizi,ma-mugera,ma-kagera,ma-lugaisa,malebenkelelele.bisho,ntuntunu,lebelao,kanyanyinyi,kaijuko,alinda,tereza.
 
Haki ya Mungu, nimegundua kitu kimoja humu ndani siyo Great Thinkers ni vice versa. Kuna topic nyingine unatakiwa kukae kimyaaaaa! usionyeshe upumbavu. Ila ni vizuri ukijulikana ndivyo ilivyo.

haya chukua kati ya haya; Mukaneza, Nyamwiza, Kaneza, Nkurunziza, Kaitesi, Mutesi. Hongera for a baby Girl.
 
Haya ndo maeneo yetu;Kokutantarikwa,Atugonza,Asimwe,Mangada,Mukaire.
 
kuku-tongozwa?

umeona eeh.. watu bana!
Makeleme,matereza,ma-rwabishugi, ma-rwabizi,ma-mugera,ma-kagera,ma-lugaisa,malebenkelelele.bisho,ntuntunu,lebelao,kanyanyinyi,kaijuko,alinda,tereza.
Alinda likopoa. kuna mtu alisema ukianza na ma- kwenye jina lote, kuna maana yake (eti ni heshima fulani)

Bonabana,Echinkuweile,Tibahikao,Katusime,Mkabajuna,
Katusime nimelipenda

Asante mkuu...naona yamekua mengi mpaka nachanganyikiwa nitumie lipi.

........... na Blandina, Kokuhilwa, Kokuleba, Mangada, Kelementina, Rubelita n.k
mangada??

kishakyomukama sio huruma ya mungu labda huruma ya bwana,neno 'mukama' kumbuka ata mfalme ni mkama e.g omukama-RUMANYIKA.
Asante kwakutuelewesha

Haya ndo maeneo yetu;Kokutantarikwa,Atugonza,Asimwe,Mangada,Mukaire.
Aise naona majina mengi mpaka nimeanzisha database ya majina yetu.... Asanteni wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…