Mimi sas animeshoka na nyie watu mlioolewa uchagani, kila siku kuongelea tabia za kichaga, majina ya kichaga, wachaga hiki, wachaga kile, inafu is inafu, leo tutaje majina ya wengine............
Mbona unang'aka huna kabila au we mzenj?
Mbona nina mpango wachagga wakimaliza tuorodheshe ya kimasai, naanza na la babu yangu: 'Lekina Ole Meiting'ieki lol Massangwa'