wewe sijui mr/ms gulopu utajapigwa siku moja maana umekomaa kupost matusi hivi unadhani maana ya hilo neno ulosema hapo juu ukiambiwa ufafanue mbele ya wazazi wako na wa mkeo sijui mmeo? Utaweza? Au mkweo akuite jina hilo wewe **** kuja hapa utajisikiaje? Inaonekana unayajua ma2c kwa taarifa yako kuna watu tuna midomo michafu kama vyoo vya stendi nikifungulia domo langu hapa mwenyewe utatoka nduki.