Mtakuja bar,Dodoma.
Chako ni chako,Dodoma.
usinikumbushe chako ni chako na kuku wa kienyeji.
sister.Hiyo chako ni chako bar ina tazamana na satarday bar.yani ilikuwa baada ya kazi jioni lazima tupitie hapo na kila nikifika dodoma lazima niende chako ni chako kuku wetu wa kienyeji na dompo wine. acha kabisa
chako ni chako............ipo dodoma
sister.Hiyo chako ni chako bar ina tazamana na satarday bar.
Huwa zina wachanganya watu maarufu sasa ni sat bar lakini watu wanaita chako ni chako bar.
Barazani Bar....................... Ipo Babati.
migombani bar ipo znz stone town
Ishatiwa kiberiti hiyo, au ilishajengwa upya?