Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,354
"Shikamoo" bar. Halafu ya pembeni yake "Marahaba" bar. Sinza hapo!
Bar zote zinazoitwa ****** bar hupewa na wateja ila kwa uzoefu wangu huwa zina majina mengine ambayo ndo huwa katika bango!!!kiufupi ****** bar ni majina ya utani wateja huyaita...mfano arusha night park a.k.a ****** bar ipo arusha maeneo ya mianzini kama sikosei
mamod wako fasta kuweka nyota nyota!!!lol
maprosoo.
Ipo opp. na hostel ya chuo hapa.. nikadogo ila kanajaza ile mbaya.
Hata gest house hawapo nyuma katika majina, unaijua OKOKA LEO GEST HOUSE ipo maeneo ya buza
Simba kapakatwa.. mmh kuna namna hapa, mmiliki yanga nini?
well done mods maana wengne tnakaribia***** hahahahaa si mbaya kama kitu inaharibu ladha na maadili!
Hata gest house hawapo nyuma katika majina, unaijua OKOKA LEO GEST HOUSE ipo maeneo ya buza
Majina ya hizi bar hunikosha!!!mbuzi choma bado tamu au wamefulia?
Ipo opp. na hostel ya chuo hapa.. nikadogo ila kanajaza ile mbaya.
well done mods maana wengne tnakaribia***** hahahahaa si mbaya kama kitu inaharibu ladha na maadili!