Majina ya Afisa Tawala

Majina ya Afisa Tawala

MANG'ANDA

New Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
4
Reaction score
1
Mwenye gazeti la majina ya kazi waliyotoa tume ya mahakama naomba ndugu zangu mniwekee majina ya afisa tawala ama naomba mniangalizie jina la Beatrice kayombo kama lipo,gazeti la habari leo tarehe21 mwezi wa 8
 
Tangu tarehe 21/august!interview c itakua ishapita?
 
Kumbe ww ni Beatrice Kayombo? Nimekumic sana my Classment long time kitambo..
 
Back
Top Bottom