blackgold engineer
Senior Member
- Sep 8, 2013
- 107
- 70
Kashinde je? Naona unataja majina yalokuja na meli tu.
Ina maana kabla hayajafika hao hakukuwa na wazuri? Au african species zilibadilika na kuanza kuwa nzuri baada ya majina kuja na meli?
Una hatari.
kabla ya haya majina ya meli uzuri wa mababuzetu ulikua sawa ,,ndio maana walikua wanajali tabia tukashinde je? Naona unataja majina yalokuja na meli tu.
Ina maana kabla hayajafika hao hakukuwa na wazuri? Au african species zilibadilika na kuanza kuwa nzuri baada ya majina kuja na meli?
Una hatari.
Nancy### wow..super perfect.
Katika tafiti zangu nimegundua asilimia kubwa ya uzuri wa mwanamke unaendana na jina alilopewa utotoni,,kifupi sijawahi kuona nancy mbaya,,au irene mbaya,,au michel mbaya,,au sabrina mbaya,,au nasra mbaya,,au zufra mbaya,ila kuna majina nisameheni huwezi mtu kumuuita mwanahamisi au sikujua halafu umkute mzuri,,ushauri kwenu wazazi wachagulieni watoto wenu majina mazuri maana ndio yanashape urembo wa sura zao..

Kisa mnatumia ID zenu feki ndio mnajiona wajanjaa kujadili majina ya watu, ili tujue ninyi mlipewa majina mazuri?
huo utafiti umeufanya wapi?
lengo lilikuwa nini?
Sample space ilikuwa na watu wangapi?
medhods gani zilitumika?
benefits?