Majina na uzungu. . . .

Ah no way!
Hebu toka hapa eti Joune Gee hahahahahaha
ila kufupisha kwa herufi naona sio mbaya sana ila hizo zenu kutoka Elizabeth mpaka Lizzy, ni mbwembwe zilizo kubuhu lol
Ohhhh na nilisahau kwamba unaweza ukatumia Jo, Jou. . .
 
Majina ya kizungu kichagga

Elizabeth - Sapeti
Joseph - Osefu
Alexander - Esandiri
Victor - Fikitoori
Jacob - Akupu
Andrew - Anderee
Glory - Kilori
Daniel - Dang'elyi
Alphonce - Alyifoonzi
Thomas - Tomaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom