Hahahahaha!!! Tobaaa kidogo nitamke Fenesi...yap yap BC the place to be..😛oaFineasi kawa Fi(y)nest
We kijana wewe. . . tutaonana BC
Tupilike na Asifiwe wataitwaje sasa!
Kama vile nakuona...lolHahahahaha unajifanya ushasahau mara hii?
Ntakuwepo ujue. . . live kama Al jazeera.
Jumanne - J4. . .JeiFoo
Amina - Amyner (Amy ulinipa ruksa)
Fadhili - Fad. . Faddy
Cheupe - Che
Jamila - Jamy
Fatuma - Fatty
Salama, Salima - Sally
Mwajuma - MJ. . EmJei
Elisante, Elihuruma, EliMungu - Elli. . Ely
Samia, Samita, Samora - Sammy
Mponda - MP. . EmPii
Chuki - CK. . SiiKei
Tabu - T. . Tee
Bakari - Beka
Anje(nge)ndile - Angle
Tomaso - Tommy
Tandu - Tandy
Kassimu - Kassy (Keisi), K (Key, Kei)
. . . . . .
Khaaa? hii kali! yaani umenivunja mbavu zanguBitoz Nyangema - Tupac
Jumanne Kabwela=malizia mwenyewe.
OTIS
Bitoz Nyangema - Tupac