MASTER VOICE
Member
- Dec 16, 2010
- 7
- 0
agness na grace kwa asila jamani ni balaaaaaaaaaaaaaaaaa
hapa tuko pamojaZUBEDA wana mdomo acha kabisa yaani chiriku chamtoto
TEH TEH TEH,
It sound kama walikuwa part of you ukawa experiance,,,,,,,,
Anyway ipo kwenye jokes tu......
Majina ya Jakaya huwa wanapenda sana wanawake
Majina ya Michael wana tabia ya kuwa Nyota e.g.Hello wana JF ktk tafiti mbalimbali zinaonyesha wazi majina tunayobatizwa au tunayopewa na wazazi hufanana na tabia ambazo tunakuwa nazo tukifika ukubwani. Na hii hugundulika baada ya kulinganisha watu wawili watatu na kuwafanya sample ktk jina wanalofanana na baadhi ya majina huwa na sifa mbaya.Mfano jina la ASHA watu wenye majina haya wengi wao huwa waongeaji saana,wapenda udaku na mengine mengi na kwa wa vulana jina la EMMANUEL- watu wenye jina hili huwa wapenda ugomvi na wenye sura za upole sana. Huu ni mtazamo wangu je wewe nipe majina mengine na tabia zake na ni je unakubaliana kuwa tabia zinaendana na majina?
Anna Tibaijuka
Anna Makinda
Anne Kilango
Anna Abdallah
.............
Ongezeni mengine na muwape watoto wenu wa kike jina la Anna!
Duh, siwezi kuthibitisha hapa ila Jackie wachache naowajua mie wanafanana na hizo tabia. Ila bado nadhani tusiwahukumu watu kwa majinaJackie kwa wanawake huwaga malaya sana alaf wazuri haswaa
Abuu huwaga malaya sana kwa wanaume..
Anna Tibaijuka
Anna Makinda
Anne Kilango
Anna Abdallah
.............
Ongezeni mengine na muwape watoto wenu wa kike jina la Anna!