Majina mengine ya Mungu

My boss charminglady mada nzuri sana na umeuliza swali zuri sana..!

Kaa karibu mada hii ni moto wa kuotea mbali subiri uone itakavyo pamba moto!
Ngoja nijifiche hapa pembeni!
 
Last edited by a moderator:
Dah kaka upeo wako ni mkubwa sana na wenye busara, yaani tungepata watu wenye akili humu ndani kama zako naamini kabisa jamvini pangekuwa mahala salama, mi huwa nashindwa kuwaelewa wakristo na waislam wanaposema kila mmoja ana Mungu wake, na kila mmoja anasema Mungu wake ndiyo ameumba dunia na ulimwengu pamoja na vilivyomo, lakini ukiangalia hayo maandiko utagundua Mungu ni huyo huyo mmoja mwenye sifa nyingi na kila taifa linamwita kwa lugha yake, kwa mfano ukienda nchi zinazoongea kiarabu basi Mungu anaitwa Allah bila hata ya kujali dini husika, vile vile ukienda nchi wanazoongea kiingereza bila hata ya kujali dini Mungu anaitwa God. Ila sisi wakristo na waislamu wa Bongo sijui tumetoa wapi Allah na God ni tofauti, kweli akili zetu ni ndogo. Cha kushangaza Muislam au Mkristo wa Bongo akipata Tatizo siku zote usema Mungu wangu, na Siyo Allah wangu au God wangu. Ebu tuondoe tofauti zetu na tujitahidi angalau kuelewa kidago yaani inasikitisha sana unapomuona mtu tena msomi kabisa anasema Wakristo wana Mungu wao na Waislamu wana Mungu wao, kwa kweli inatia huruma.
 
Jina ni moja; Yehova, rejea Kutoka 6:2,3. Maana ya jina hilo ndio, Mimi Niko, rejea Kutoka 3:14
 

The God, The Obama The
PHP:
Ngurubhe

Code:
#
mungu wetu hana ufanano na binadamu na majina yake yapo katika SIFA kuthibitisha UTUKUFU wak
.....
 

Utakuwa unaumia na kushangaa kwa kiwango sawa namimi,lakn tuskste tamaa...inapopatikana nafas kama hizi tuzitumie kubadilishana mawazo"
 

Mkuu Yehovah na Allah ni sawa?
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100. Hizo zote wanazojadili ni sifa tu na wala sio majina tofauti ya Mungu. Mimi nafikiri uzi unge kaa vizuri kama ungesomeka majina tofauti ya Mungu katika lugha mbali mbali mfano Kiswahili - Mungu, Kiingereza - God, Kichagga - Ruwa, Kinyakyusa- Kyala, Kihehe/Kibena - Inguluvi, nk
 
Mkuu Yehovah na Allah ni sawa?
Mungu ni Mmoja ndugu yangu, hizo ni tamaa za kibinadamu tu kusema kila dini ina Mungu wake. Manake kama Mungu wa waislamu na wakristo ni tofauti, basi hata Adam walikuwa wawili na Eva walikuwa wawili which doesn't make sense. Sisi binadamu tunafanya hivi kutaka kuonyesha kuwa kila dini iko sahihi kuliko nyingine. Mungu Muumba mbingu na ardhi na aliyeumba vyote vilivyomo ni mmoja tu, na kwake yeye sisi sote tutarejea kwa hukumu.
 
Sasa hivyo vyeo vilitokana na nini, au viliandikwa wapi wakuu?
 
Jina ni moja; Yehova, rejea Kutoka 6:2,3. Maana ya jina hilo ndio, Mimi Niko, rejea Kutoka 3:14

Asante mkuu Makene, nimesoma hiyo mistari ya biblia. Swali langu hizo sifa tajwa zimeandikwa wapi au zimetokana na nini??
 
Last edited by a moderator:
hayo majina yanapatikana ktk vitabu vya Kiebrania.nimeelezwa hivyo na mwanatheolojia.
 
Kwa taarifa yenu shetani pia ni mungu wa dunia hii..
alah ndie shetani mwenyewe..
 
Mkuu Yehovah na Allah ni sawa?

Sio sawa!!
Yehova.. anachukia uovu..halipi visasi, anajitetea hatetewi, hana uelekeo maalum, hana kichefuchefu hata usipooga anakusikia..
Huyo ALAH sasa!
ana sehemu yake maalum usipoelekea huko hakusikii,
ana kichefuchefu usipooga anatapika..
yeye anatetewa hajitetei mwenyewe..
ukiua anakupa tuzo huko kwake..

acheni kudanganywa.. kuna Mungu wa kweli mmoja tu YEREMIA 10:10
 

Title yako inasema "majina mengine ya Mungu" halafu kwenye hayo majina mengine kuna jina "Mungu" tena, I'm confused. Hayo majina alijipa mwenyewe au amepewa na watu? By the way kwa nini Mungu anahitaji kuwa na majina mengi kiasi hicho, dalili za kutokuwa na self confidence au?
 

naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…