Majina mengine ni burudani tupu

Kama Salamander

Salamander ni jina la kawaida tu, au hujawahi kusikia wakina Komba, Nyoka, Mapunda, Manyaunyau? Uswahilini kwetu kulikuwa na mtu anaitwa Abdala Ng'ombe.
 
Kuna sister duu nilisoma nae anaitwa Kibibi Nyuki.
 
Jamaa alipigwa na polisi kisa haya haya mambo ya majina.
Polisi: Jina lako nani?
Jamaa: Mamba.
Polisi: Unaishi wapi?
Jamaa: mtoni.
Polisi akakasirika akampa virungu, kumbe jamaa anaitwa Mamba na anakaa Mtoni Mtongani.
 
Jamani umetaja jina la cousin wangu kabisa....

Oooh!!! what a coincidence...

Kuna mdada namfahamu kwa jina hilo, sasa ukilitaja jinale kwa haraka ni kama umetamka neno 'anapita'...
 
Majina yote niliyowahi kuyasikia/kuyasoma tisa kumi hili hapa: Dikembe Mutombo Mpolondo Mukamba Jean-Jacques Wamutombo
 
Oooh!!! what a coincidence...

Kuna mdada namfahamu kwa jina hilo, sasa ukilitaja jinale kwa haraka ni kama umetamka neno 'anapita'...

Mi naitwa Mboya Masawe,vip ukilitaja haraka jina langu?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Jamaa alipigwa na polisi kisa haya haya mambo ya majina.
Polisi: Jina lako nani?
Jamaa: Mamba.
Polisi: Unaishi wapi?
Jamaa: mtoni.
Polisi akakasirika akampa virungu, kumbe jamaa anaitwa Mamba na anakaa Mtoni Mtongani.

Haa haaa polisi wakaona analeta zogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…