Majina mengine ni burudani tupu

Kwasababu mnaelewa maana yake moja kwa moja, unajua jina Lucy or Lucie maana yake kilatin ni mwanga au light. Sasa ukimuona Lucy unaemfahamu wewe angeitwa Mwanga ungeona kichekesho?
 
Nilimbahatisha jamaa mmoja kule Dom anaitwa "Pamoja Tunakwenda"
 
Pale Bagamoyo Museums kulikua na Mzee mmoja hivi anaitwa Sitaki Kejeli

Hahahaaaa na kule Kondoa Kusini au Chemba kwa sasa kuna Mwalimu wa shule ya msingi anaitwa HATUA LAINI
 
Teh teh teh huyu kweli kabahatisha
 
Nilisoma na dada mmoja anaitwa Hawana O. Akili, kifupi ni Hawana Akili sijui yupo wapi kwa sasa
 
Porter...mfinyanzi.
Tailor....mshonaji
Headwater...kichwa maji
Smith.....mhunzi
Crain.....winchi
Long...ndefu
Mbna hya huwa utuyashangai.?au ndo kunya anye kuku akinya bata kaalisha.?
 
Pale Bagamoyo Museums kulikua na Mzee mmoja hivi anaitwa Sitaki Kejeli

Namjua yule mzee sijui kama bado yupo mpaka sasa, miaka ya 2000 nilikuwa nakwenda pale museum mara kwa mara, lakini umekosea jina, sio Sitaki Kejeli yule anaitwa Samahani Kejeli. Muangalie kwenye hii video hapa chini

Last edited by a moderator:
m
Kwasababu mnaelewa maana yake moja kwa moja, unajua jina Lucy or Lucie maana yake kilatin ni mwanga au light. Sasa ukimuona Lucy unaemfahamu wewe angeitwa Mwanga ungeona kichekesho?

majina ya mwanga yapo
 
hahahahaaaa you are very right Mpwa, it is the same guy aiseeee kumbe ni Samahani Kejeli.....hahahahaahahaaa
Namjua yule mzee sijui kama bado yupo mpaka sasa, miaka ya 2000 nilikuwa nakwenda pale museum mara kwa mara, lakini umekosea jina, sio Sitaki Kejeli yule anaitwa Samahani Kejeli. Muangalie kwenye hii video hapa chini

Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…