Majina mazuri kwa mtoto

Dah....Mbona mnajichanganya bana.....hapo pekundu mbona rahisi tu...
muiite Chanya ...au Positive au....Positivo..au.Positif....au Pozytywny...au Pozitv...wewe tu😎
 
majina ya kizungu na kiarabu waachie wazungu na waarabu, mpatie mtoto wako majina yenye asili yako (kiafrika) sio lazima jina liwe la kabila lako hata kabila lingine, kuna ya kiswahili pia, mbantu kumpatia mtoto wake jina la kizungu/kiarabu (ambalo hajui hata matamshi na maana yake) imekuwa ikionekana kawaida sababu wote tumeshapumbazwa kutaka kuwa kama waliotutawala/waliotuzidi. amka mwafrika
 
Ndo yapi hayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…