leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,439
- 1,850
Kama wewe ni mzalendo mpe Yohana
Kisasila Masota"yasiyo complicated" kama ni me majina ni Juma,Hassani, Ali, Rajabu,Iddi, Salum, Bakari, Rashidi, Selemani, Mohammed etc. Kama ni Ke Asha,Zainabu, Mwajuma,Halima,Sada,Salama,Moza,Zuwena,Arafa,Mariyamu, Tausi,Chausiku,Bimkubwa,Saumu,Shakila,Tatu,Tabu etc (hapa kama wewe ni muislamu)
Kama ni Me majina ni Erick,Joston, Kazimoto,Derick,Denis,Robert,Fred,Thomas etc. Kama ni Ke Cecy,Elizabeth,Doris,Dorica,Merriness,Veronica,Valentina,Jenny/Jane,Frida,Witness,Fransisca,Neema,Jackline,Irene etc (hapa kama wewe ni mkristo)
Wengine wataongeza ya asili km Chipeta,Bhoke,Chacha,Kingunge,Katiti,Maseke,Masosota,Kiokote,manka etc
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe naitwa Mganyizi nimefurahi kuliona hapo Sema Jina la ukoo lazima litoke kwa babu kama hayupo atatoa bibi na Jina inakuja kwa nyakati ila lipo la kwenye biblia lazima abatizweKizazi cha Fessibuku ni sheedar.
Mtoto akizaliwa anaitwa Baba/Babu mkubwa anakuja kumtakia heri, kumnenea yaliyomema, kumpa pole mzazi na kupima DNA ya asili na Mwisho atampa mtoto jina la UKOO huo ndio UAFRIKA na ndicho kinafanyika mpaka kesho. Hawa watoto wenu ndio maaana ma role mode wao ni akina GIGY MONEY.
Hivi majina matamu kama RUTAJUMULWA, MUGANYIZI, MWAIPOPO, NCHURIKA, CHACHA, KOMBA, JOHARI, UPENDO, FARAJA, BARAKA, WEMA, FURAHA, MSOMI NK
Poa endeelen kuwapa majina ya Pornstars wa majuu kama ISABELA, CHEROKEE, JASMIN, MICHELLE, MANDINGO nk
Mkristo mkatorikiWewe Muumini wa dini gani? Maana huwezi ukamuita mtoto Rajabu, Hassani,Abdurahim etc wakati wewe Mkristo..
Mpe, Makonda au magufuli.Wazima wana jamii Polen kwa utafutaji wa kila siku kama kichwa kinavyo jieleza mda si mrefu Mungu ajaalie ntapata mtoto naitaji majina yasiyo complicated na yenye maana nsije kuta namuita Jina mtoto lenye maana hasi
Sent using Jamii Forums mobile app