Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,201
- 17,563
Pole sana.Basi bwana, tukadondoka Moshi Mjini kufuatilia vitu flani hivi amazing nini,
Kushuka kwenye gari tunatembea na dadangu tukasikia wanaume wanasema:
"Engeneer Soma iyoooo!!, We Engeneer ngapiiii iyooo?!"
Nikacheka sana, nikawaza kwa kujiuliza kwani sikuhizi wadada wenye wowowo kubwa wanaitwa Engeneer soma iyo au?!
Unajua nimekaa sana ndani sielewi misemo mipya ya mtaani tena!
Embu nipeni Mapya bado naomboleza msiba wa mama yangu
Ila ya Engeneer yamenishangaza!
Asante BossPole sana.
Asante sana kamandaPole sana ndugu
We mbona huna wowowoBasi bwana, tukadondoka Moshi Mjini kufuatilia vitu flani hivi amazing nini,
Kushuka kwenye gari tunatembea na dadangu tukasikia wanaume wanasema:
"Engeneer Soma iyoooo!!, We Engeneer ngapiiii iyooo?!"
Nikacheka sana, nikawaza kwa kujiuliza kwani sikuhizi wadada wenye wowowo kubwa wanaitwa Engeneer soma iyo au?!
Unajua nimekaa sana ndani sielewi misemo mipya ya mtaani tena!
Embu nipeni Mapya bado naomboleza msiba wa mama yangu
Ila ya Engeneer yamenishangaza!
5Soma hips ngapi hiyoooooo , hahahah
Moshi nao wachokozi sana
Asante
HahahaAliyetoa hiyo kauli kapiga marufuku matumizi yake hovyohovyo