WASIWASI JUU YA LOWASA:
Hivi wana jf walio ukawa naomba kuuliza tu swali la kizushi,maana nina wasiwasi na huyo mnayemshabikia,wengi kama fata upepo tu,inawezekana hata majina yake manne hamyajui,mnajua tu la lowasa.Mfano yule wa ccm anaitwa John Pombe Joseph Magufuli:Haya na huyo wa kwenu kama kweli yupo ukawa anaejiamini hapa ataje
Sana sana watatukana tuu,we utaona,atakae jitahidi sana majina mawili tuu
WASIWASI JUU YA LOWASA:
Hivi wana jf walio ukawa naomba kuuliza tu swali la kizushi,maana nina wasiwasi na huyo mnayemshabikia,wengi kama fata upepo tu,inawezekana hata majina yake manne hamyajui,mnajua tu la lowasa.Mfano yule wa ccm anaitwa John Pombe Joseph Magufuli:Haya na huyo wa kwenu kama kweli yupo ukawa anaejiamini hapa ataje
Labda ungetueleza hayo majina yake yana uhusiano upi na kuchaguliwa kwake?kwamba jina linawakilisha ubora wa kiongozi au vipi sijakuelewa.
It masaki imekata pumzi. Na kampeni ndo zimeanza kwa ukawa
Nasikia sahizi anajiita john pombe Edward ngoyayi Lowassa.WASIWASI JUU YA LOWASA: