Majina haya hapa walofaulu Aptitude Test ya Uhamiaji

Thanks bado ni janga. Watu1281 kwa nafasi 70 sawa na watu 18 kila nafasi moja. Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote.
 
hahahahahaha Tanganyika ni zaidi unavyoifaham mkuu..!!! but kila la heri waloitwa.
 
Humu kuna watu hata kwenye aptitude test hawakuja na hawana hata bachelor wameitwa branda za ajabu Uhamiaji
 
Back
Top Bottom