ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,712
- 57,224
Sio kuyafanya makazi ila kwenye matamshi yake tu yanakunogea na unatamani angalau ufike.
Mimi Nyamagana na Kurasini
Mimi Nyamagana na Kurasini
twende nikupeleke..😃Pasiansi...
Njia ya kwenda ofisi za RCLindi hiyo![]()
Wireless =WailesWailes