Majina 400 ya Vijana waliofaulu Usahili wa TRA

Hizi ajira mimi sahiv sizihitaji sana kama Mungu akinipa uhai

Nafungua forex account 3 TU za usd 300 kila account naingiza usd 50 kila siku

50 x 5 = 250

250 x 3 = 750

750 x 4 = 3000

3000 × 2198 = 6.5M kwa mwezi niajiriwe ili nigundue nini?
Mkuu nielekeze kidogo kuhusiana na hio kitu
 
WADAU MAJINA YA WATU WALOITWA KAZINI TRA YAMETOKA...NA KATIKA PITA PITA ZANGU NKAKUTANA NA KITU KAMA HICHO KWENYE ATACHMENT...MNISAIDIE JE IS IT A COINCIDENCE KWAMBView attachment 614103A NDUGU WINFRIDA ALIFANYA INTERVIEW VIZURI NA WAKATI HUO HUO AKIWA NA NDUGU TRA AU FIGISUFIGISU....CHECK ATTACHMENT VIZURI ANGALIA ADRESS YA WINFRIDA.....
Ndio maana ikaitwa Care Of
 
MLIOPATA KWA KUBAHATISHA MKUMBUKE KUNA 'VETTING'. TISS NA GSOs WATAINGIA MZGONI KWA AJILI YA KUWAFUKUNYUA NA MNAWEZA KUWA SUSPENDED WITHIN A YEAR. KWA HYO MSIJISAHAU, KAFANYENI KAZ KWA UADILIFU.
 
Back
Top Bottom