Majimbo ya kukombolewa 2020

Nikujibu tu wewe mtoa hoja. Hili jimbo kila kata ina shule 2 za sekondari.Pamoja na hujuma lakini sgd mashariki ndiyo inaongoza kwa makusanyo ya kodi. Kwa taarifa hili jimbo lina watoto wenye akili zaidi singida maana ndilo linaloongoza kitaaluma kwa mkoa wa singida,miaka mitatu sasa mfululizo majimbo mengine hayafikii ufaulu wa watoto wa East singida. Kama haitoshi ndilo jimbo pekee kanda ya kati lililo na wasomi wengi.
 
Kwa hiyo majimbo mengine yanayoendelea yako chini ya nani?
Kwani tangu Uhuru liko chini ya mbunge huyu? Kwahiyo jimbo la Manyoni limeendelea sana na Mtera vivyo hivyo, Great Thinkers andikeni vitu vya maana na msipende kuwasemea watu wengine .
 
Ni majimbo gani yenye maendeleo makubwa vijijini mkononi mwa Ccm.
 
Lissu anampango wakuikomboa ikulu wewe unalilia kajimbo...hata kupindua jimbo la Mh Lissu kutumia SMG mumeshindwa hamuoni haibu???
 
tawire! mimi mmojawapo kutoka singida mashariki, Makiungu....shule imepanda kisawasawa. Huyu mtoa maada anajidhalilisha kwa chuki zake kwa mh Lissu, jimbo letu liko vizuri sana. Niseme ni jimbo ambalo kwa sasa linajielewa sana; watu wanatambua haki zao. hii ni baada ya hili jimbo kukombolewa na TL; alifanya kazi kubwa ya kueneza elimu ya uraia

munio wa munkonongo uyui....
 
Naona sasa wanakuja kwa sura zao halisi.... so Lisu ndo mwenye kukusanya kodi na pia ni resource allocator eee .. ndo maana mlitaka kumtoa uhai wake! Itose kusema akirudi tutampa Urais ...
 
Labda alimaanisha Singida Mashati,jimbo jipya linalotazamiwa kuanzishwa na PHDS'
 
Kwa miaka 50 Tanzania inaongozwa na chama gani?
 
Sijawahi kuandika kitu humu. Ila huyu mtoa post hivi kaangalia majimbo ya ccm akaona yote kama yana maendeleo kuliko anayozungumza
 
Mkuu;
Ungekuwa na akili ungelijitia kuwa unampenda sana Lissu halafu useme; Laiti angelichaguliwa na chama chake kugombea uraisi ili jimbo lake lipewe mwenye maono makubwa zaidi yake. Ila sasa wasukuma tunasemaga; Washiragha tembe.
 
we jamaaaa inaonekana una mavi mengi saana yanekubana sasa unataka kunya humu jf, tafadhali naomba uende kunya ndo uje humu jf,
 
Mbinu zenu ovu zimeshindwa , na hamtafanikiwa kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…