Majimbo ya kukombolewa 2020

Majimbo ya kukombolewa 2020

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Wadau habarini,

Miongoni mwa waliofanya makosa ya Kidemokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 ni wapiga kura wa Jimbo ya Singida Mashariki.

Ukweli Jimbo hili hadi leo bado lipo chini sana Kiuchumi ukilinganisha na Majimbo mengine.

Jimbo hilo linakabiliwa na changamoto kadha zikiwemo ukosefu wa huduma muhimu za Jamii.

Changamoto hizi kiukweli zimeendelea kuwepo pamoja na ahadi nyingi walizopewa wakazi hao kwa nyakati mbalimbali.

Wakati umefika sasa kwa wakazi hao kuamka mapema kwa kujiandaa ili muda muafaka utakapofika mfanye maamuzi sahihi ya kidemokrasia na kufuta makosa mliyofanya hapo awali.

Mnaweza tu kuondokana na hali halisi mliyonayo kwa kufanya maamuzi sahihi kwa kuzingatia ubora wa chaguo lenu badala ya kuchagua kiushabiki.

Msikate tamaa ila msifanye makosa tena.

Aksanteni.
 
Km lipo chini kiuchumi ni wakati wa kuilalamikia ccm hapo zaidi ya miaka 50 lkn jimbo bado uchumi ovyo fungua akili zako uone tatizo lipo wp! Wao wanakusanya kodi maendeleo hakuna unaanza kumlaumu mbunge lini umempa kodi yako hakuletee maendeleo?
 
Wadau habarini.
Miongoni mwa waliofanya makosa ya Kidemokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 ni wapiga kura wa Jimbo ya Singida Mashariki. Ukweli Jimbo hili hadi leo bado lipo chini sana Kiuchumi ukilinganisha na Majimbo mengine.Jimbo hilo linakabiliwa na changamoto kadha zikiwemo ukosefu wa huduma muhimu za Jamii. Changamoto hizi kiukweli zimeendelea kuwepo pamoja na ahadi nyingi walizopewa wakazi hao kwa nyakati mbalimbali.
Wakati umefika sasa kwa wakazi hao kuamka mapema kwa kujiandaa ili muda muafaka utakapofika mfanye maamuzi sahihi ya kidemokrasia na kufuta makosa mliyofanya hapo awali. Mnaweza tu kuondokana na hali halisi mliyonayo kwa kufanya maamuzi sahihi kwa kuzingatia ubora wa chaguo lenu badala ya kuchagua kiushabiki.
Msikate tamaa ila msifanye makosa tena
Aksanteni.

Kwa hiyo kwa sababu huwezi kushindana na Mh.Lissu jukwaani ndiyo ukaamua umuuwe ili uchukue jimbo kiulaini?Jipange upya Lissu yu hai na anarudi na nguvu ya ajabu.
 
Wadau habarini.
Miongoni mwa waliofanya makosa ya Kidemokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 ni wapiga kura wa Jimbo ya Singida Mashariki. Ukweli Jimbo hili hadi leo bado lipo chini sana Kiuchumi ukilinganisha na Majimbo mengine.Jimbo hilo linakabiliwa na changamoto kadha zikiwemo ukosefu wa huduma muhimu za Jamii. Changamoto hizi kiukweli zimeendelea kuwepo pamoja na ahadi nyingi walizopewa wakazi hao kwa nyakati mbalimbali.
Wakati umefika sasa kwa wakazi hao kuamka mapema kwa kujiandaa ili muda muafaka utakapofika mfanye maamuzi sahihi ya kidemokrasia na kufuta makosa mliyofanya hapo awali. Mnaweza tu kuondokana na hali halisi mliyonayo kwa kufanya maamuzi sahihi kwa kuzingatia ubora wa chaguo lenu badala ya kuchagua kiushabiki.
Msikate tamaa ila msifanye makosa tena
Aksanteni.
walokutuma kuwa wamekosea njia.wanasingida mashariki tunajitambua .ikitaka kutuelewa vzr nenda sasa HV ueleze huu ujinga wako singida mashariki uone kitakachotokea.
 
Wadau habarini.
Miongoni mwa waliofanya makosa ya Kidemokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 ni wapiga kura wa Jimbo ya Singida Mashariki. Ukweli Jimbo hili hadi leo bado lipo chini sana Kiuchumi ukilinganisha na Majimbo mengine.Jimbo hilo linakabiliwa na changamoto kadha zikiwemo ukosefu wa huduma muhimu za Jamii. Changamoto hizi kiukweli zimeendelea kuwepo pamoja na ahadi nyingi walizopewa wakazi hao kwa nyakati mbalimbali.
Wakati umefika sasa kwa wakazi hao kuamka mapema kwa kujiandaa ili muda muafaka utakapofika mfanye maamuzi sahihi ya kidemokrasia na kufuta makosa mliyofanya hapo awali. Mnaweza tu kuondokana na hali halisi mliyonayo kwa kufanya maamuzi sahihi kwa kuzingatia ubora wa chaguo lenu badala ya kuchagua kiushabiki.
Msikate tamaa ila msifanye makosa tena
Aksanteni.
Kweli wewe yaani baada ya miaka 55 ya uhuru bado kuna sehemu ya nchi haina huduma kama hizo,ina maanisha serikali iliyopo madarakani haiwajibiki kwa wananchi wake ambao wanalipa kodi kwa maendeleo
 
Wadau habarini.
Miongoni mwa waliofanya makosa ya Kidemokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 ni wapiga kura wa Jimbo ya Singida Mashariki. Ukweli Jimbo hili hadi leo bado lipo chini sana Kiuchumi ukilinganisha na Majimbo mengine.Jimbo hilo linakabiliwa na changamoto kadha zikiwemo ukosefu wa huduma muhimu za Jamii. Changamoto hizi kiukweli zimeendelea kuwepo pamoja na ahadi nyingi walizopewa wakazi hao kwa nyakati mbalimbali.
Wakati umefika sasa kwa wakazi hao kuamka mapema kwa kujiandaa ili muda muafaka utakapofika mfanye maamuzi sahihi ya kidemokrasia na kufuta makosa mliyofanya hapo awali. Mnaweza tu kuondokana na hali halisi mliyonayo kwa kufanya maamuzi sahihi kwa kuzingatia ubora wa chaguo lenu badala ya kuchagua kiushabiki.
Msikate tamaa ila msifanye makosa tena
Aksanteni.
Naamini albadili imeanza kufanya kazi yake sasa maadui wa Lissu mmeanza kujitokeza
 
Huyu Boniphace yuko jimbo gani ambayo imeendelea kuliko East Singida?Ukisoma Katiba imeandikwa kuwa serikali ina wajibu wa kuleta maendeleo kwa wananchi wake.Kazi ya mbunge ni kutunga sheria,kukosoa serikali pale inapokosea,kuwakilisha wananchi kwa kuishauri serikali kuhusu changamoto zinazokabili wananchi wake,je kama ni kwel Singida mashariki kiuchumi iko chini kuliko majimbo mengine kwanini serikali ya ccm imetenga wananchi wa Singida mashariki au walikuwa wanawakomoa kwa sababu ya kumchagua TL?
 
Kwani Mbunge kazi yake ni kujenga barabara,zahanati,kupeleka maji au kujenga shule?

Somo la Uraia lilikupita kushoto nini?
 
Wadau habarini.
Miongoni mwa waliofanya makosa ya Kidemokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 ni wapiga kura wa Jimbo ya Singida Mashariki. Ukweli Jimbo hili hadi leo bado lipo chini sana Kiuchumi ukilinganisha na Majimbo mengine.Jimbo hilo linakabiliwa na changamoto kadha zikiwemo ukosefu wa huduma muhimu za Jamii. Changamoto hizi kiukweli zimeendelea kuwepo pamoja na ahadi nyingi walizopewa wakazi hao kwa nyakati mbalimbali.
Wakati umefika sasa kwa wakazi hao kuamka mapema kwa kujiandaa ili muda muafaka utakapofika mfanye maamuzi sahihi ya kidemokrasia na kufuta makosa mliyofanya hapo awali. Mnaweza tu kuondokana na hali halisi mliyonayo kwa kufanya maamuzi sahihi kwa kuzingatia ubora wa chaguo lenu badala ya kuchagua kiushabiki.
Msikate tamaa ila msifanye makosa tena
Aksanteni.
Na jimbo kuu la jamuhuri ya muungano
Nalo linatakiwa kukombolewa,kuna makosa tulifanya 2015 yanayofanya tuishi kwa maigizo,faini za mahakama kimataifa,hofu,nk,
 
Wadau habarini.
Miongoni mwa waliofanya makosa ya Kidemokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 ni wapiga kura wa Jimbo ya Singida Mashariki. Ukweli Jimbo hili hadi leo bado lipo chini sana Kiuchumi ukilinganisha na Majimbo mengine.Jimbo hilo linakabiliwa na changamoto kadha zikiwemo ukosefu wa huduma muhimu za Jamii. Changamoto hizi kiukweli zimeendelea kuwepo pamoja na ahadi nyingi walizopewa wakazi hao kwa nyakati mbalimbali.
Wakati umefika sasa kwa wakazi hao kuamka mapema kwa kujiandaa ili muda muafaka utakapofika mfanye maamuzi sahihi ya kidemokrasia na kufuta makosa mliyofanya hapo awali. Mnaweza tu kuondokana na hali halisi mliyonayo kwa kufanya maamuzi sahihi kwa kuzingatia ubora wa chaguo lenu badala ya kuchagua kiushabiki.
Msikate tamaa ila msifanye makosa tena
Aksanteni.

Ukitupa tofauti na Majimbo mwenza ya Singida tunaweza kukusikiliza japo kidogo.

Na kwa sasa naona mko busy kupeleka Maji na kuhudumia hospital itakuwa rahisi mno kulirudisha maana mnasolve vipaumbele vya jimbo bika kujitambua.

Na mnaweza mkajikuta mnapoteza mengine kwa maana wananchi Wa Singida watajiukiza kumbe ukichagua upinzani hopitali na Maji yanakuja bila kutumia nguvu kubwa.

Hongera sana Lissu.Kwako we we mleta mada pambana na hali yako Lissu humuwezi
 
Mleta mada bila shaka umejitokeza muda muafaka haya tambie wenzio wako wapi na bunduki na ile Nissan viko wapi na hiyo tenda ya kutoa uhai wa lissu mlipewa na nani? Pia nikuulize; majimbo ya mkoa wa dodoma ambapo kuna umasikini wa ajabu kiasi cha kula viwavijeshi wakati wa njaa na yanaongozwa na ccm tangu dunia iumbwe huko nako yupo lissu nenda tanga majimbo kama handeni watu wemeshindia na kulalia maembe mabichi na çcm ipo hapo miaka dahali una lakusema kabla cjakubonda rungu jingine la utosi?
 
Wenzio wanaweka na namba za simu.lione kwanza libaba lizima hata aibu huna,mkitukanwa mnaanza kulialia ooh vijana hawana adabu sjui nn.
 
Wadau habarini.
Miongoni mwa waliofanya makosa ya Kidemokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 ni wapiga kura wa Jimbo ya Singida Mashariki. Ukweli Jimbo hili hadi leo bado lipo chini sana Kiuchumi ukilinganisha na Majimbo mengine.Jimbo hilo linakabiliwa na changamoto kadha zikiwemo ukosefu wa huduma muhimu za Jamii. Changamoto hizi kiukweli zimeendelea kuwepo pamoja na ahadi nyingi walizopewa wakazi hao kwa nyakati mbalimbali.
Wakati umefika sasa kwa wakazi hao kuamka mapema kwa kujiandaa ili muda muafaka utakapofika mfanye maamuzi sahihi ya kidemokrasia na kufuta makosa mliyofanya hapo awali. Mnaweza tu kuondokana na hali halisi mliyonayo kwa kufanya maamuzi sahihi kwa kuzingatia ubora wa chaguo lenu badala ya kuchagua kiushabiki.
Msikate tamaa ila msifanye makosa tena
Aksanteni.
Wewe ulishashuhudia jimbo la Lusinde wewe? Unalijua jimbo la Kishapu? Unalifahamu jimbo la Kongwa? hebu tuwe fair aiseee!!
 
Back
Top Bottom