Majimbo haya yapo hoi

Majimbo haya yapo hoi

MAFILILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,377
Reaction score
1,200
Ndugu wanaJF katika uchunguzi wangu nimegundua majimbo yafuatayo yako hoi kwa vile wabunge wake ni dhaifu:
1. Iringa Mjini
2. Mbeya Mjini
3. Arusha
4. Ubungo
5. Kawe
6. Ilemela
7.Nyamagana
8. HAI
Imefika hatua wananchi wanajuta kuwapa kura waheshimiwa husika ambao wameweka mbele matumbo yao kuliko kuwatumikia wapiga kura. Inaonekana hawa waheshimiwa WANAJUWA HAWATAPATA KURA 2015 HIVYO WAMEAMUA KUTENGENEZA MAISHA YAO TU
 
Mafilili, Wacha uongo, Mimi nilikuwa Hai last week nimeona maendeleo kushinda Lindi Mnji na Vijijini.
Unaweza kufananisha jimbo ata moja kati ya aya na Njombe, Mpanda na Lindi?
come back with strong topic usidhani apa watu wanapoteza muda.
Mimi Nimetokea Ubungo na Nimezaliwa Ubungo, ili jimbo kwa sasa linafanya vizuri kuliko wakati ule wa akina Masumbuko na Keenja
utatuambia nini wewe wacha uoongo.
 
Ndugu wanaJF katika uchunguzi wangu nimegundua majimbo yafuatayo yako hoi kwa vile wabunge wake ni dhaifu:
1. Iringa Mjini
2. Mbeya Mjini
3. Arusha
4. Ubungo
5. Kawe
6. Ilemela
7.Nyamagana
8. HAI
Imefika hatua wananchi wanajuta kuwapa kura waheshimiwa husika ambao wameweka mbele matumbo yao kuliko kuwatumikia wapiga kura. Inaonekana hawa waheshimiwa WANAJUWA HAWATAPATA KURA 2015 HIVYO WAMEAMUA KUTENGENEZA MAISHA YAO TU
mimi ni ccm damu lakini kiuhalisi jimbo la ubungo sehemu kubwa hakuna maji na barabara ni mbovu, ina maana hivi vyote vilikuwepo kabla ua kumchagua Mnyika ?
 
Neno uchunguzi limeanza kutumiwa kihuni. Mtu akiwa kwenye basi akipita sehemu basi anajiita amechunguza!!! Uchunguzi gani huo upo biased hivyo???Mbona hatuelezi majimbo ya vyama vingine pia???yani mngejua nyie watu mnavyotupa hasira na mchama wenu huo basi tu. Mana nyie mlioipigia kura CCM ndio mliotufikisha hapa. Leo hata sukari tunashindwa nunua??
 
Kweli Mungu amekuumba tofauti,yaani akili yako inaende kinyume na kwako umaskini ndiyo maendeleo,una mtazamo Mufilisi
 
Ndugu wanaJF katika uchunguzi wangu nimegundua majimbo yafuatayo yako hoi kwa vile wabunge wake ni dhaifu:
1. Iringa Mjini
2. Mbeya Mjini
3. Arusha
4. Ubungo
5. Kawe
6. Ilemela
7.Nyamagana
8. HAI
Imefika hatua wananchi wanajuta kuwapa kura waheshimiwa husika ambao wameweka mbele matumbo yao kuliko kuwatumikia wapiga kura. Inaonekana hawa waheshimiwa WANAJUWA HAWATAPATA KURA 2015 HIVYO WAMEAMUA KUTENGENEZA MAISHA YAO TU

we kweli mafilifili
 
JF bana ina vituko kweli kumbe hapa siku hizi ukitaka thread yako iwe na wachangiaji wengi unatakiwa uikandiye CHADEMA basi umemaliza!!
This is too low for JF.
 
CCM wameehuka, sasa wanapost takataka na maji taka tu, mpaka hawajui kuwa hili ni jamvi la kina nani!!!!!!
 
Ndugu wanaJF katika uchunguzi wangu nimegundua majimbo yafuatayo yako hoi kwa vile wabunge wake ni dhaifu:
1. Iringa Mjini
2. Mbeya Mjini
3. Arusha
4. Ubungo
5. Kawe
6. Ilemela
7.Nyamagana
8. HAI
Imefika hatua wananchi wanajuta kuwapa kura waheshimiwa husika ambao wameweka mbele matumbo yao kuliko kuwatumikia wapiga kura. Inaonekana hawa waheshimiwa WANAJUWA HAWATAPATA KURA 2015 HIVYO WAMEAMUA KUTENGENEZA MAISHA YAO TU

Hayo majimbo mengine yaliyobakia yako salama?

Vipi uchunguzi wako unasemaje kuhusu haya:1.Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
2.Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
3.Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
4.Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
5.Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
6.Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
7.Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
8.Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
9.Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
10.Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
11.Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
12.Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
13.Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
14.Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
15.Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
16.Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
17.Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
18.Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
19.Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
20.Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
21.Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
22.Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
23.Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
24.Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
25.Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
26.Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
27.Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
28.Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
29.Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
30.Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
31.Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
32.Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
33.Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
34.Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
35.Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
36.Kulinda haki za walemavu - Makete
37.Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
38.Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
39.Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
40.Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
41.Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
42.Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
43.Kuwafidia wanakijiji ng'ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
44.Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
45.Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
46.Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
47.Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
48.Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
49.Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
50.Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
51.Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
52.Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
 
Ya nini mfumo wa vyama vingi, maana serikali kuu ikipanga bajeti inaelekeza kwa majimbo ya ccm pekee
 
nipo Mbeya Mjini hakuna wakati wowote ambao watu wanaona maendeleo ya wazi chini ya uongozi wa Sugu barabara zinawekwa lami hivi sasa pamoja na mvua hii barabara ya Isanga inawekwa lami

Na SUGU amefanya ziara karibu kila kitongoji kueleza mafanikio na kinachoendelea kutekeleza ahadi zake jimboni

Wananchi wa Mbeya wana imani kubwa na SUGU pamoja na CHADEMA
 
Ndugu wanaJF katika uchunguzi wangu nimegundua majimbo yafuatayo yako hoi kwa vile wabunge wake ni dhaifu:
1. Iringa Mjini
2. Mbeya Mjini
3. Arusha
4. Ubungo
5. Kawe
6. Ilemela
7.Nyamagana
8. HAI
Imefika hatua wananchi wanajuta kuwapa kura waheshimiwa husika ambao wameweka mbele matumbo yao kuliko kuwatumikia wapiga kura. Inaonekana hawa waheshimiwa WANAJUWA HAWATAPATA KURA 2015 HIVYO WAMEAMUA KUTENGENEZA MAISHA YAO TU

this time mko wengi sana....tuna kazi kubwa sana ya kuwaelimisha. the good of it ni kwamba mnaelewa na ni yetu matumaini kuwa huo usaliti wenu kwa nchi hii utafika mwisho siku moja.

To Mods: wapenda haki ndo walaji wa news mara zote na kokote duniani. Mwananchi,Mwanahalisi,tanzania daima wanalijua hili nilisemalo...lakini pia UHURU,mtanzania/rai,habari leo etc nao wanaujua ukweli huo...kuna magazeti yamefulia mpaka wamefikia hatua ya kushindwa kulipa mishahara kwa sababu ya kukandamiza haki na kuegemea ufisadi,wamekula makombo ya mafisadi hayakuwasaidia wamerudi na kuanza kuandika habari za haki...wasomaji wa magazeti wataungana na mimi ktk hili especially this week.kuna radi station zilikuwa hot sana hapa mjini ila wapumbavu wachache wamezifanya zionekane kinyaa mbele ya jamii kwa sababu ya kuegemea ufisadi na mafisadi....nawatabiria kifo na kupotea kabisa kwenye anga ya habari...haki haijawahi kushindwa na dhuluma bado.

Kiongozi wa ngazi ya Kitaifa kama Dr Slaa na Mbowe siyo watu wa kutungiwa uwongo bila ushahidi na uwongo huo ukaendelea kutamalaki hapa JF kwa siku nzima!!!kama hakuna ushahidi wa tuhuma nzito kama hizo futeni hizo thread maMods la sivyo na sisi tutashindwa kuvumilia. Dr Slaa amejibu lakini bado watu wanatukana bila evidence...tutafika kweli?kama huyo mtu anayajua yote hayo si alete ushahidi?
 
Nyumba shilling Million 300 Dubai!! hawa jamaa wana akili ndogo afadhali hata ya ndezi.

Mkuu Matola,
Yani hawa jamaa ni Wapuuzi sana. Akili zao ni kama mkojo. Bahati nzuri Mods amewapa stahili yao. Mathread yao yote yamechinjiwa baharini. Bado huyu MUFILISI sijui MAFILIFILI!
 
Hata jina lako linaonyesha jinsi akili yako ilivyo fanywa na CCM
Endelea kulegea hadi roho uone jinsi CCM watakavyo ifanya roho yako pia.

Ndugu wanaJF katika uchunguzi wangu nimegundua majimbo yafuatayo yako hoi kwa vile wabunge wake ni dhaifu:
1. Iringa Mjini
2. Mbeya Mjini
3. Arusha
4. Ubungo
5. Kawe
6. Ilemela
7.Nyamagana
8. HAI
Imefika hatua wananchi wanajuta kuwapa kura waheshimiwa husika ambao wameweka mbele matumbo yao kuliko kuwatumikia wapiga kura. Inaonekana hawa waheshimiwa WANAJUWA HAWATAPATA KURA 2015 HIVYO WAMEAMUA KUTENGENEZA MAISHA YAO TU
 
Ndugu wanaJF katika uchunguzi wangu nimegundua majimbo yafuatayo yako hoi kwa vile wabunge wake ni dhaifu:
1. Iringa Mjini
2. Mbeya Mjini
3. Arusha
4. Ubungo
5. Kawe
6. Ilemela
7.Nyamagana
8. HAI
Imefika hatua wananchi wanajuta kuwapa kura waheshimiwa husika ambao wameweka mbele matumbo yao kuliko kuwatumikia wapiga kura. Inaonekana hawa waheshimiwa WANAJUWA HAWATAPATA KURA 2015 HIVYO WAMEAMUA KUTENGENEZA MAISHA YAO TU

uhuru wa mawazo umekuadhiri
 
Uwongo na UNAFIKI wa aina hii ndo unaonifanya niichukie CCM na watu wake.
 
Back
Top Bottom