TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
Mafilili, Wacha uongo, Mimi nilikuwa Hai last week nimeona maendeleo kushinda Lindi Mnji na Vijijini.
Unaweza kufananisha jimbo ata moja kati ya aya na Njombe, Mpanda na Lindi?
come back with strong topic usidhani apa watu wanapoteza muda.
Mimi Nimetokea Ubungo na Nimezaliwa Ubungo, ili jimbo kwa sasa linafanya vizuri kuliko wakati ule wa akina Masumbuko na Keenja
utatuambia nini wewe wacha uoongo.
Safi sana! Hili Zumbukuku halina hoja bali ni udaku tu ndo limejaliwa nao,threads nyingine zipimwe kwanza pale milembe.