Kuanzia saa 11 jioni tayari yatakuwa yameshatangazwa kuwa UKAWA ndio wameshinda:
1. Ubungo
2. Kibamba
3. Kawe
4. Segerea
5. Karatu
6. Arusha Mjini
7. Mwanza mjini
8. Singida Mashariki
9. Hai
10. Moshi Mjini
11. Iringa Mjini
12. Mbeya Mjini
13. Ukonga
14. Mikumi
Ongezea unayoyafahamu...
Kuanzia saa 11 jioni tayari yatakuwa yameshatangazwa kuwa UKAWA ndio wameshinda:
1. Ubungo
2. Kibamba
3. Kawe
4. Segerea
5. Karatu
6. Arusha Mjini
7. Mwanza mjini
8. Singida Mashariki
9. Hai
10. Moshi Mjini
11. Iringa Mjini
12. Mbeya Mjini
13. Ukonga
14. Mikumi
Ongezea unayoyafahamu...
Usiongee kiushabiki ongea kiuhalisia majimbo haya yana mvutano hakuna anaejua nani atashinda
1.ukonga
2.ubungo
3.kawe
4.kibamba
5.kisarawe
6.iringa mjini
7.karatu
8.moshi mjin
9.ilemela
10.nyamagana.
Mtaniambia baada ya kesho kutangazwa.
Maskini.. umeingia kwenye siasa wiki iliyopita eeeh? Hivi kuna wa kumshinda Mnyika na Mdee? Kweli? Iringa mjini kweli? Karatu? Utakuwa umelogwa
Nyongeza:
1. Magu
2. Sumve
3. Ukerewe
4. Ilemela
5. Misungwi
7. Kwimba
8. Buchosa
9. Sengerema
10. Geita Mjini
11. Busanda
12. Chato
14. Nyangwale
15. Bkb vijijini
16. Tarime vijijini
17. Tarime mjini
18. Biharamulo
19. Nkenge
20. Karagwe
21. Ngara
22. Bkb manispaa
23. Kahamia Mjini
24. Shy Mjini
25. N.k