Kuanzia saa 11 jioni tayari yatakuwa yameshatangazwa kuwa UKAWA ndio wameshinda:
1. Ubungo
2. Kibamba
3. Kawe
4. Segerea
5. Karatu
6. Arusha Mjini
7. Mwanza mjini
8. Singida Mashariki
9. Hai
10. Moshi Mjini
11. Iringa Mjini
12. Mbeya Mjini
13. Ukonga
14. Mikumi
Ongezea unayoyafahamu...
WEWE KWELI MKIWA na VILOBA VINAKUSUMBUA...MWANZA MJINI NDIO JIMBO GANI HILO......