Majimbo haya UKAWA watashinda mapemaa

Majimbo haya UKAWA watashinda mapemaa

Unapata wapi uhalali wa kuiacha arumeru, monduli kwenye hiyo list?
 
Kwa nini mnayasahau majimbo haya?
MEATU
KISESA
SIMANJIRO
KAHAMA MJINI
TARIME ZOTE 2

Huko kote CCM iko ICU!
 
Kuanzia saa 11 jioni tayari yatakuwa yameshatangazwa kuwa UKAWA ndio wameshinda:
1. Ubungo
2. Kibamba
3. Kawe
4. Segerea
5. Karatu
6. Arusha Mjini
7. Mwanza mjini
8. Singida Mashariki
9. Hai
10. Moshi Mjini
11. Iringa Mjini
12. Mbeya Mjini
13. Ukonga
14. Mikumi
Ongezea unayoyafahamu...

Songea Mjini. Fuime. Na Mbinga mjini Mario Millinga
 
mbona mmeisahau mbozi jamani?
majimbo yote matatu ccm wanapumlia milija.
Hata Kyela Dr Mwakyembe anapumulia mashine.

Hilo amelikiri mwenyewe jana katika kituo 'chao' cha StarTV jana usiku katika kipindi cha mahojiano maalum na mtangazaji Yusufu Kamote.
 
Ubungo, Kawe na Kibamba SAHAU hampati!
Arusha Mjini uchaguzi umeahirishwa kufuatia kifo cha mgombea wa ACT
Mwanza Mjini hakuna jimbo kama hilo ni Ilemela na Nyamagana.

....chizi!
 
Urambo Magreth Six Hoi ndembwendebwe kwa Surveyor-Sam Ntakamulenga.
 
Hata Kyela Dr Mwakyembe anapumulia mashine.

Hilo amelikiri mwenyewe jana katika kituo 'chao' cha StarTV jana usiku katika kipindi cha mahojiano maalum na mtangazaji Yusufu Kamote.

Hebu tupe uhondo kasemaje
 
Nyongeza:
1. Magu
2. Sumve
3. Ukerewe
4. Ilemela
5. Misungwi
7. Kwimba
8. Buchosa
9. Sengerema
10. Geita Mjini
11. Busanda
12. Chato
14. Nyangwale
15. Bkb vijijini
16. Tarime vijijini
17. Tarime mjini
18. Biharamulo
19. Nkenge
20. Karagwe
21. Ngara
22. Bkb manispaa
23. Kahamia Mjini
24. Shy Mjini
25. N.k
 
Back
Top Bottom