Majimbo haya UKAWA watashinda mapemaa

Majimbo haya UKAWA watashinda mapemaa

Magnesium

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2014
Posts
317
Reaction score
185
Kuanzia saa 11 jioni tayari yatakuwa yameshatangazwa kuwa UKAWA ndio wameshinda:
1. Ubungo
2. Kibamba
3. Kawe
4. Segerea
5. Karatu
6. Arusha Mjini
7. Mwanza mjini
8. Singida Mashariki
9. Hai
10. Moshi Mjini
11. Iringa Mjini
12. Mbeya Mjini
13. Ukonga
14. Mikumi
Ongezea unayoyafahamu...
 
Ilala asanali yuko vizuri tu mchana wa leo aliwekwa ndani msimbazi polisi kisa anashangiliwa kila kona ya mtaa zungu hoi
 
Kuanzia saa 11 jioni tayari yatakuwa yameshatangazwa kuwa UKAWA ndio wameshinda:
1. Ubungo
2. Kibamba
3. Kawe
4. Segerea
5. Karatu
6. Arusha Mjini
7. Mwanza mjini
8. Singida Mashariki
9. Hai
10. Moshi Mjini
11. Iringa Mjini
12. Mbeya Mjini
13. Ukonga
14. Mikumi
Ongezea unayoyafahamu...

Watu mnajifanya mnajua siasa kumbe viazi tu!! FYI Arusha mjini uchaguzi umeahirishwa na hakuna Jimbo la mwanza mjini
 
Mbeya vijijini ADAM ZELLA kam-bana koo mzee NJENZA hadi kafikia hatua ya kukodi gari ya matangazo anatangaza eti wameshafikia makubaliano na Adam zella kwamba anajitoa kugombea kwahyo kura zote ziende kwake. ( Njenza)
 
Wete
Chake
Majimbo yote ya Pemba
Unguja malindi
Mtoni
Nungwi
Bumbini
Chukwani
 
Ongeza jimbo la Salum Mwalimu kule zanzibar kama ana nawa vile!
 
Ongeza na jimbo la Lupa chunya kwa mzee Kasaka mzee wa G55 anarejea kwa kishindo!
 
Kaliua Mama Sakaya amemwacha mzee wa totozi ndembendebe

Tabora mjini ccm inapumulia machine pia
 
Back
Top Bottom