gomezirichard
Member
- Nov 2, 2010
- 71
- 1
Ndugu wana JF, Hakuna kipingamizi cha kutufanya wana CHADEMA tushindwe kuyatwaa majimbo haya , moja ya mikakati ambayo CHADEMA wana jadili hivi karibuni watatoa ripoti yao ni juu ya majimbo ya shinyanga mjini, kigoma mjini, kilombero, kibaha mjini na segerea, pia mbozi magharibi ninaamini pindi tutakapo enda mahakamani bila shaka lazima mtu mzima aibike otherwise CCM Watumie nguvu na si utashi wa kisiasa .
Mzee Gomezi
Mzee Gomezi