tatizo humu wengi washabiki wa chadema, sasa ngoja kesho mtakavyokuwa mnalia huku wana ccm tukisherehekea kimya kimya. Sie huwa hatupigi kelele ka nyie
hongera nyingi chadema kwa matokeo mazuri!ila tabia ya kupenda kufikiria mtaibiwa sio nzuri ni kutokujiamini!hamjaibiwa mnalia je mkiibiwa......by the way majimbo yote 07 mtwara yameenda c.c.m confirmed!