IEach state must get 25,000 signatures by Dec 10, 2012 to be considered by President Obama. Is it another USSR breaking down?
View attachment 71096
Katika singature 25,000 zinazotakiwa ili kupeleka maombi rasmi katika "administration" ya White House, Jimbo la Texas limevunja record. Limekusanya signature 99,000 hadi sasa,Kama Urusi kama Marekani, sasa ni zamu ya China kuwa baba wa dunia
Kama Urusi kama Marekani, sasa ni zamu ya China kuwa baba wa dunia
Mgibeon,KATIBA siyo MSAHAFU mkuu..
Kwa habari nilizonazo hadi sasa hivi ni kuwa, kuna kundi kubwa la watu na nafikiri na wao wameshafikisha tayari idadi ya watu 10,000 wanafanya Petition ili hao walioanza Petition ya kujitenga - WANYAN'GANYWE URAIA.
Strip the Citizenship from Everyone who Signed a Petition to Secede and Exile Them
Mr. President, please sign an executive order such that each American citizen who signed a petition from any state to secede from the USA shall have their citizenship stripped and be peacefully deported.'
Soma hapa: Union Forever! Anti-Secession Petitions Gaining Clicks, Too - ABC News
Sikonge,
Hivyo ndio vimbwanga vya Demokrasia ya Wamarekani. Unaruhusiwa kuropoka utakavyo ili mradi tu huchukui vitendo vilivyo kinyume na sheria. Ukweli ni kuwa hakuna atakayefukuzwa nchini wala hakuna atakaejitenga. Wanaosubiri hayo kutokea watakuwa kama fisi anavyonyemelea mkono wa mtu akisubiri kuwa eti utadondoka ili afaidi.
Kamwewe,lenye mwanzo lina mwisho
Mpanda ngazi hushuka ,
Mwiba uingiapo ndipo utokapo , aingiyae kwa upanga hutoka kwa upanga
Kama Nguvu ilitumika kuunda USA basi nguvu hiyo hiyo itatumika kuisambaratisha
TIME WILL TELL