petro matei
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 809
- 945
O
Wanaohitaji wanapiga simu contact hiyo hapo kama huna hitaji nicheck tubageni bei niko dar wilaya kinondoni.
Elfu ngapi?!

Bei poa ndio Sh ngapi? Sasa si bora husingeweka hapa kama hautaki kutaka bei

Daah! Jamaa unatangaza biashara au unatafuta??Gesi
Mtemi huyu jamaaDaah! Jamaa unatangaza biashara au unatafuta??
Una bargain nini bila kujua bei?Wanaohitaji wanapiga simu contact hiyo hapo kama huna hitaji nicheck tubageni bei niko dar wilaya kinondoni.
Bei ni siri? Kwani yeye dalali hataki mwenyemali ajue ameuzaje?Mpigieni kwa hizo namba. Akitaja tuu bei, ziwekeni hapa.