Majiji, manispaa na miji inayoongozwa na upinzani inaongoza kwa usafi.

Sema Sasa

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
651
898
Angalia jiji la mbeya, manispaa za Kinondoni, Iringa, moshi na miji ya njombe na tunduma. Kata tatu za katikati ya mji wa njombe zipo chini ya chadema kuanzia vitongoji, mitaa na kata hizo.
 
Attachments

  • IMG-20160715-WA0000.jpg
    IMG-20160715-WA0000.jpg
    52.1 KB · Views: 35
Ndio ukweli wa hapa kazi tu utakapoonekana hapo... Na mji kama moshi ni msafi ila hauna matamko ya kishakunaku kama dar
 
Na mji kama moshi ni msafi ila hauna matamko ya kishakunaku kama dar

Mji wa Moshi ni msafi sababu hauna watu wengi wa kuuchafua.Wakazi Wengi wa Moshi wamehamia kwa wingi mikoa mingine ambako huko ndiko wanaenda kuchafua ikiwemo Dar.Dar inaweza kuwa safi WATU WA MOSHI wakihama kurudi MOSHI HAPO NDIPO KIBAO KITABADILIKA, Moshi kutakuwa kuchafu na Dar KUTAKUWA kusafi.
 
Uwe unajiifadhi basi ata kidogo
Usijiweke wazi namna hiyo
 
Mji wa Moshi ni msafi sababu hauna watu wengi wa kuuchafua.Wakazi Wengi wa Moshi wamehamia kwa wingi mikoa mingine ambako huko ndiko wanaenda kuchafua ikiwemo Dar.Dar inaweza kuwa safi WATU WA MOSHI wakihama kurudi MOSHI HAPO NDIPO KIBAO KITABADILIKA, Moshi kutakuwa kuchafu na Dar KUTAKUWA kusafi.
Aisee !! Wewe jamaa mweupe sana kichwani
 
Niko tayari kusahihishwa......utafiti wangu unaonesha halmashauri za upinzani hazina matamko ya kisiasa bali wanafanya vitendo vya kimaendeleo ili waingoe CCM madarakani...mfano Kinondoni jinsi Mayor alivyowapa vizimba wamachinga wa pale ubungo..yaani papo kwa papo.
 
Nasikia leo katoa tamko lingine.. Watapita nyumba kwa nyumba kuandika majina ya watu wasio na ajira...
Sasa najiuliza ili iweje?
Hivi lile tamko la kuzuia kuvuta sigara hadharani limeishia wapi maana naona watu wanapuliza kama kawaida, huyu jamaa aache taarabu
 
Nasikia leo katoa tamko lingine.. Watapita nyumba kwa nyumba kuandika majina ya watu wasio na ajira...
Sasa najiuliza ili iweje?

Uongozi ni karama, kama huna hiyo karama ndo unajikuta unafanya ujinga kila kukicha.
 
Back
Top Bottom