Anaanza "mimi ndo msanii pekee ninayefanya Hip Hop, wengine sijui wanafanya nini" anaendelea "namsaka mwanangu roma naona kapotea" anaenda mbali zaidi anasema "hivi lile goli kala alipatia?".
NOTE: Huyu jamaa ataacha lini kujitapa na kuwaponda wasanii wenzake, kana kwamba ye ndo anajua sana? Au ndo Hip Hop yenyewe hiyo?
Source: Wimbo Wake.

Iyo anayofanya ni Dar hippop,kuna tofauti sana na Hip-Hop ya watu kama Hashim dogo mwana haramu
Chakula
haha.. ila huyu jamaa siku hizi kapunguza sana kugawa dozi, nakumbuka mara ya mwisho chidi alikutana na dhahama la huyu jamaa, na ilikuwa mwaka jana akiwa stejini.
Au hii anayofanya ndo wanaita Modern Hip Hop?