Hahahaha! Hujambo?hizi shule zifunguliwe tu
Sijambo my love....how are youHahahaha! Hujambo?
Sijambo my love....how are you
I'm fine kakake, sema tu ubao wasoma 0:0 mualiko wa Eid.Sijambo my love....how are you
Toa hilo neno kaka kwanza nikupe ratibaI'm fine kakake, sema tu ubao wasoma 0:0 mualiko wa Eid.
Hahahahhaha!Toa hilo neno kaka kwanza nikupe ratiba
Wewe unaniita Kaka ili nisikuite mpenzi au?Hahahahhaha!
Wewe kaka yangu bwana na nitaendelea kukuita bro!Wewe unaniita Kaka ili nisikuite mpenzi au?
Na tusiotaka bro zone unatusaidiajeWewe kaka yangu bwana na nitaendelea kukuita bro!
Nimeipenda comment yko bro na nimehelewa ila ungeongeza nyama kidogoNimetamani kupita lakini labda you are serious
Si kila mwezi yai huwa linakomaa, ku ovulate, je ni dalili gani alikuwa nazo kuonesha kuwa alikuwa tayari kuconceive?
Jibu hayo maswali halafu nitaendelea broNimeipenda comment yko bro na nimehelewa ila ungeongeza nyama kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nijuavyo mimi mimba kutungwa wakati mwingine siyo hesabu nyepesi kivile na kuna factors nyingi sana. Kama ni mwezi mmoja tu, mbona msijaribu siku za hatari miezi mingine ijayo mkaona itakuwaje? Mwezi mmoja tu hautoshi kufikia mahitimisho yo yote.Kukutana na mwanamke au mpenzi wako siku za hatari na kuto mpa mimba kwa mwezi huo aliokuwa danger.
Je, mwanaume anaweza kuwa na matatizo?
Salute bro nimekusomaNijuavyo mimi mimba kutungwa wakati mwingine siyo hesabu nyepesi kivile na kuna factors nyingi sana. Kama ni mwezi mmoja tu, mbona msijaribu siku za hatari miezi mingine ijayo mkaona itakuwaje? Mwezi mmoja tu hautoshi kufikia mahitimisho yo yote.